Genuine_phones
Member
- Oct 23, 2019
- 17
- 21
Sony hauna kiongozi
A50 na A71 zinaendaje mkuu? Za nchi gani?Kaka sony hatuuzi Ila utapata Samsung
Mkuu apple 6+ 650?
Nmeuliza Bei ndiio 650Ipo boss wangu karibu dukani tupo wazi leo
Na 6plain jeIpo boss wangu karibu dukani tupo wazi leo
Na 6plain je
Iphone 6+ leo utapata wapi boyaa wa kumuuuzia hiyo bei??????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
16Gb ngapi unataka boss
Hizi Ni 6+16gb 320,000
64gb 400,000
Mkuu una simu za kazi kama Land rover au ni hizi za kupangusa tu?