Salaam!
Mali iko tayari mzigo ni kwa bei ya jumla na reja reja kwa madalali na watumiaji wa mwisho.
Kitalu kizima kinachotoa viroba 18-20 vya kilo mia bei ni 1600000
Kilo moja 1Kg ni shilingi 700 Kwa bei ya jumla na 900 kwa bei ya reja reja. Vitalu vipo saba.
Mawasiliano ni 0687 547474