frank phillibert bwenge f Member Joined Mar 28, 2017 Posts 30 Reaction score 12 Nov 28, 2020 #1 Habari JF Naomba kufahamu kuhusu makato ya kupokea mzigo kupitia POSTA Je kati ya DHL na Posta wapi kuna gharama kubwa zaidi ? Natanguliza shukrani
Habari JF Naomba kufahamu kuhusu makato ya kupokea mzigo kupitia POSTA Je kati ya DHL na Posta wapi kuna gharama kubwa zaidi ? Natanguliza shukrani
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Nov 28, 2020 #2 DHL kama wako juu zaidi Changamoto wale watu wao wa derivary hasa waendesha pikipki wana majibu kunya sana baadhi yao
DHL kama wako juu zaidi Changamoto wale watu wao wa derivary hasa waendesha pikipki wana majibu kunya sana baadhi yao
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,942 Reaction score 9,464 Nov 29, 2020 #3 DHL unalinganisha na Posta? DHL ni very expensive katika makampuni yote yanayo safirisha vifurushi. frank phillibert bwenge f said: Habari JF Naomba kufahamu kuhusu makato ya kupokea mzigo kupitia POSTA Je kati ya DHL na Posta wapi kuna gharama kubwa zaidi ? Natanguliza shukrani Click to expand...
DHL unalinganisha na Posta? DHL ni very expensive katika makampuni yote yanayo safirisha vifurushi. frank phillibert bwenge f said: Habari JF Naomba kufahamu kuhusu makato ya kupokea mzigo kupitia POSTA Je kati ya DHL na Posta wapi kuna gharama kubwa zaidi ? Natanguliza shukrani Click to expand...
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,942 Reaction score 9,464 Nov 29, 2020 #4 Una watape then una wareport, hawatachukua siku. Lee said: DHL kama wako juu zaidi Changamoto wale watu wao wa derivary hasa waendesha pikipki wana majibu kunya sana baadhi yao Click to expand...
Una watape then una wareport, hawatachukua siku. Lee said: DHL kama wako juu zaidi Changamoto wale watu wao wa derivary hasa waendesha pikipki wana majibu kunya sana baadhi yao Click to expand...