sio kweli mzee kipara hajafa..story na status za fb ni kama headings za magezeti pendwa utakuta heading kuubwa ''raisi afumaniwa na mke wa mtu''ukifunua kusoma ndani unakuta kumbe ni raisi wa solo,zumna na draft kata ya kiembe mbuzi vingunguti..aaah msiwe mnatuletea storiez na status za fb humu..