💪 MIZANI YA KISASA YA KUPIMA MIZIGO!
Unahitaji kupima mizigo kwa usahihi, haraka na kwa urahisi? Huu ni mzani wa kisasa wa Platform Scale unaokusaidia kupima uzito wa bidhaa na mizigo mbalimbali kwa ufanisi.
✅ Imara na hudumu
✅ Usahihi wa kupima uzito
✅ Rahisi kutumia
✅ Inafaa kwa maghala, biashara, viwanda na mizigo mizito.
Karibu upate vifaa vya kisasa vinavyorahisisha biashara na kazi zako.
☎️Wasiliana Nasi +255692139906(Calls,Texts & WhatsApp)
📧
sngrouptanzania@gmail.com
📍Kariakoo Mtaa wa likoma na pemba.