Mydalali lake zone

atrickmagesa1

Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
17
Reaction score
4
MWANZA...MWANZA....MWANZA
Kwa mahitaji ya kuuza au kununua nyumba, viwanja, mashamba na mali zingine zisizo hamishika.....
Kupangisha au kupanga nyumba, vyumba, appartment pamoja na mashamba
Kwa ushauri juu ya masuala yahusuyo elimu ardhi kama vile
1. Mambo usiyoyaelewa juu ya umiliki wa ardhi
2. Taratibu za kuuza au kununua ardhi au nyumba
3. Taratibu za ufuatiliaji wa hati miliki za ardhi
4. Ubadilishaji wa matumiz ya ardhi
5. Usimamiz wa ardhi
6. Changamoto za ardhi unazokumbana nazo
6. Na mambo mengine yote yahusuyo ardhi
Usisite kuwasiliana nami kwa namba 0762211774 au 0654589824
 
Inapendeza
 
Hongera sana kwa kuanza Biashara yenye Utajiri duniani Kote. Kikubwa zingatia Uaminifu na kuepuka dhuluma hakika Utafanikiwa Bw.Mdogo. Piga kazi, weka bidii mbele, Uaminifu 100%, ukweli 100%, usalama wa mali 100%
 
Shukran ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…