My pc doesnot control brightness

SAM nicheck

Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
56
Reaction score
13
help plz nina Toshiba satellite model C50-A634 and SERIAL n 1E064207U tatizo ina mwanga mkali sana na nikitaka ku control brightness function zake hazi respond hata kwenye control pannel hazi control hii brightness nifanyeje pliz maana inaniumiza macho mwanga ni mkali sana NATUMIA WIN 7 64BIT
 


Unatumia windows 7 sio ?
 
kama unatumia wn7, bonyeza katika geuge ya betry itakuletea option tofauti tofauti ikiwemo hiyo unayotaka.
 

Tafuta vga drivers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…