mimi naomba msaada niko mashariki ya mabali narudi nyumbani this month Insha Allah nimeona TV samsung martTV dola kama 600 hapa ya nchi 40 home sh ngapi waungwana nisije jiigiza kichwa kichwa wakati hata home zipo kibao,, pia nikifika pale eapoti ushuru nitalipa sh ngapi kwa anejua,,,sorry uzi huu si wangu ila nimeona niiunganishe swali langu hapa .. ahsante