My Flash disk is locked

Willy mayor

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
346
Reaction score
44
Wakuu naomben msaada kwa ajili ya ku unlock flash yangu. ni flash ya 32GB yenye shape ya ufunguo wa kofuli ila tatizo lake ni kwamba imefungwa na password but nikiweke kwenye PC inasoma na inafunction kama kawaida ila nikitaka kuweka data yeyote ina niambia "the disk is writed protected " yan siwez hata kuiformat. Kwa kwel nimeangaika nayo lakn imegoma. Naomben msaada kwa anaejua hili.Shukhran
 
Ikague vizuri. Utaona kitufe cha kuifungua ili uweze kuitumia. Kwa kawaida kitufe hicho kinakuwa pembezoni
 
mie yangu nimehifadhi vitu ndani but nikifungua haionyeshi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…