kdrama_masters
Member
- Oct 16, 2020
- 92
- 196
Yaani unashangaa vip tamhilia kuitwa hvyo MY FATHER IS STRANGE tafsiri yake ni kama baba yangu ni mgeni au mpya.So ukiangalia hii Tv show utajua kwa nn imeitwa ivyo.labda nikupe sababu moja.Sielewagi Wakorea kwenye Naming why would you call a Tv show My Father is Strange iko Sketchy sijui yaan hii ni sentence na sio Title
Unaposema yuko shallow unachekesha wakat muandshi wa hyo story kashinda Oscar kama best director 2019.Na hyo drama imeuzwa zaidi ya nchi 56 dunian.All in all ni maoni yako broTitle ndio inamfanya mtu anunue kitabu ule msemo wa you can’t judge a book by it cover ni old school Title na Cover ndio inaanza kukuvutia then unachukua kitabu na kuanza kukagua zaid unageuza nyuma kupata plot.
Na kuhusu hiyo Title ya Movie iko Shallow kama imeandikwa na Teenager, Title inabidi iwe serious na well cultivated Mfano hii Title ni ndefu, “How to get away with Murder” ila unaona iko Serious na well created kiukweli hiyo plot na title uliyosema kwenye production serious hawawez wakatengeneza kitu kama hicho ni kawaida sana.
Unaposema yuko shallow unachekesha wakat muandshi wa hyo story kashinda Oscar kama best director 2019.Na hyo drama imeuzwa zaidi ya nchi 56 dunian.All in all ni maoni yako bro
Www.Kissasian.chMkuu sites gani ni nzuri zaidi ambazo ninaweza kudownload hizi Korean drama ambazo hazina matangazo sana?,huwa naitumia dramacool shida Kuna drama ambazo nazihitaji sana kama innocent defendant, golden cross,na iris zina low quality na hakuna option ya kubadilisha quality ya picha