Ladies,
Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!
Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
Kwa wadada wa kawaida hicho kitu hakikpo..kwa Mashangazi sawa...wanaweza...lkn hizi generation XYZKW...thubutuuuLadies,
Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!
Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
aibu ndogo ndogo babu😌Unakuwa unaogopa nini Mjukuu 🤗
Mtoto wa kike anatoa mawazo mazuri kama haya afu mtu ananiambia acha kutamani ID nyambaaaaafu sanaLadies,
Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!
Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
Hahaha.......poleni Mjukuuaibu ndogo ndogo babu😌
Bora mbinu yangu,,coz pesa ya kubeba sina,,na maji natembea nayo ,, sitaki utaniHahaha.......poleni Mjukuu
Wakati mwingine mtukumbuke na Wazee wenu, au mnaogopa kutupandisha Presha katikati ya mikimbio 😜
Sio vibaya kubeba akiba ya fedha mnapotolewa for a date, au utumie mbinu yako hapo juu 🤗
Hahaha........we mjanja naona 😅Bora mbinu yangu,,coz pesa ya kubeba sina,,na maji natembea nayo ,, sitaki utani
Wazee mtatupa kesi za mauaji
kuna vizee vinajisahaulisha dawa nyumbani makusudiHahaha........we mjanja naona 😅
Wazee mtuzingatie dawa zetu za Presha tu, otherwise nothing bad can happen 🤗
Yanawahi kuiva Mkuu 😜naomba kuuliza; hivi kwanini maharage ya mbeya wanasema maji mara moja?
😅🏃🏃🏃kuna vizee vinajisahaulisha dawa nyumbani makusudi
bila ujanja ni full kuumbuka babuuuu
Mh! kwa ufupi jamaa alikushitukia mapema na nafikiri alikua sahihi. Maelezo yako na matendo yako kwa masaa matatu tu yanadhihirisha aina ya personality yako, twende pamoja chini hapa.I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Pole sanaI had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Kukutafuta asubuhi ni just kuhide behind the curtain the decision aliyofanya baada ya kukuthaminisha,ili husimtukie. It seem he is a gentleman na alitaka akupoze machungu tu.Hapana ingekuwa hivyo,asingemtafuta leo asubuhi
Yaani umepiga mle mle-mle, hii tafsiri yako ndiyo take home yangu niliyoipata baada ya kusoma ushuhuda wake huyu mwandishi.Mh! kwa ufupi jamaa alikushitukia mapema na nafikiri alikua sahihi. Maelezo yako na matendo yako kwa masaa matatu tu yanadhihirisha aina ya personality yako, twende pamoja chini hapa.
1) Kwanza kwenye date unatakiwa kwenda umejipanga kujighalimia wewe, lakini hukuwa umejipanga, si ni siku ya kwanza jamaa hamjuani kwa hiyo lazima huonyeshe una uwezo wa kuchangia, wewe ni wale wanaotafuta opportunity na si mpenzi.
2) Pili baada ya kutoshow-up umeweza kukubali ku-date jamaa mwingine , mpya kabsia tena mahali papohapo bila kusita, huo ni ushahidi tosha kwamba huna msimamo, those are prostitutes' behaviour , I am sorry to say that, hebu fikilia umekaa masaa matatu, umeagiza chakula na vinywaji umekula , umetosheka, pap unakaribia kondoka jamaa anakuapproaches na unakubali kuendelea naye, wewe utakuwa mwanamke hatari sana, ni opportunistic
3) Tatu, hujasema kilitokea nini baada ya kubaki na huyo jamaa, ila kwa kitendo cha kutomficha, na kumtamkia ukweli "that your date did not show up", was an indirect submission , that "I am available, I am all yours now, play your cards right, you will get what you want" na nina uhakika lazima ulimpatia mafidofido, your were depressed and you wanted it. that show jinis husivyoserious na hauna umakini kwenye kujilinda kimwili na kinafsi
Kiufupi tu husimlaumu your first date, wanaume tunamachale sana, wewe endelea na huyo jamaa aliyekuokota ukiwa desperate. Jamaa alisepa baada ya kujitafakali. Sisi tumegundua mapungufu yako mengi kwa masaa matatu uliyotusimulia, je yeye aliyekaa na wewe labda wiki si alichoka kabisa
Kamdomo kamdomo kamdomoI had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .