Huyu jamaa amenikumbusha tabia za paka wangu home...unamuwekea chakula kwenye chombo chake yeye anatoa anaweka chini ndio anakula...Sasa na huyu helmet ameweka kwenye pembeni amevaa kisado!!! kweli afrika watu wamepinda!!
Kweli kabisa this is YOUR Africa. The Africa I live in is not like that... baadhi ya vitu hapo vipo Africa ila nimeviona (na kuskia vipo) sehem zingine pia.
And when I look at OUR Africa, I see so much more than just what you (and them) want us to see...