Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 832
Wakuu, poleni na majukumu....
Wakuu, naomba kujulishwa shule yenye uhitaji wa mwalimu wa physics na mathematics.
Wakuu, naweza kufundisha masomo hapo tajwa juu kwa level zote yaani o level na advance.
Natanguliza shukhrani....(+255677784091)
Uko wapi?Mkuu Mimi nna project ya virtual education.Nafundisha masomo Kisha narekodi na kuuza CD kwa CD ya topic moja 2000. Njoo tupige kazi
Nipo Tabata Dar es salaamUko wapi?
TemekeNipo Tabata Dar es salaam
wapi Kaka Mimi mwenyewe ni mwalimu wa hayo masoma a very competent teacherMkuu Mimi nna project ya virtual education.Nafundisha masomo Kisha narekodi na kuuza CD kwa CD ya topic moja 2000. Njoo tupige kazi
Marian University ipo dar au pwani broNenda Marium University Dar wanahitaji huyo mtu wa hiyo fani....!
I wish tuonane tuanzishe tuition centre yetu mkuu. Kuna hela sana huko Mm Niko Tabata Sanene.Wakuu, poleni na majukumu....
Wakuu, naomba kujulishwa shule yenye uhitaji wa mwalimu wa physics na mathematics.
Wakuu, naweza kufundisha masomo hapo tajwa juu kwa level zote yaani o level na advance.
Natanguliza shukhrani....(+255677784091)
I wish tuonane tuanzishe tuition centre yetu mkuu. Kuna hela sana huko Mm Niko Tabata SaneneMkuu Mimi nna project ya virtual education.Nafundisha masomo Kisha narekodi na kuuza CD kwa CD ya topic moja 2000. Njoo tupige kazi
I wish tuonane tuanzishe tuition centre yetu mkuu. Kuna hela sana huko Mm Niko Tabatawapi Kaka Mimi mwenyewe ni mwalimu wa hayo masoma a very competent teacher
Sawa wewe nenda muulizie mtu anayeitwa Dr. Kimaro atakupokea hama hawajapata mtu bado watakuchukua...!Marian University ipo dar au pwani bro
sawa Kaka Mimi naenda Kaka unaweza nisaidie namba yake niwasiliane naye iwe rahisi Kaka naomba unisaidieSawa wewe nenda muulizie mtu anayeitwa Dr. Kimaro atakupokea hama hawajapata mtu bado watakuchukua...!
Nipm contact yakoI wish tuonane tuanzishe tuition centre yetu mkuu. Kuna hela sana huko Mm Niko Tabata Sanene.
Nami nina wish kuanzisha tuition..natafuta partner tuweke kitu kikubwa nipo tabataI wish tuonane tuanzishe tuition centre yetu mkuu. Kuna hela sana huko Mm Niko Tabata Sanene.
Mkuu siyo kweli,Marian University wanataka Assistant Lecturer (MSC in Physics) huyu ana BSc Education hahutajikiSawa wewe nenda muulizie mtu anayeitwa Dr. Kimaro atakupokea hama hawajapata mtu bado watakuchukua...!