Mwisho wa dunia ni ile siku utakayofariki. Huo ndio ukweli usiopingika. Hakuna cha conspiracy, sijui armageddon wala nini.kutokana na research yangu katika nyanja zote za kisayansi na kiimani nimepata muafaka kuwa mwisho wa dunia umewasili,ukiangalia upande wa sayansi ,wanasayansi wamefika tamati na kutengeneza movies kama 2012,the final hours,final destination,the armgedeon,under world,judgement day,et messages n.k sio kwamba ni wajinga wakapoteza billions of money kuwekeza katika very highly intellectual movies zinazotumia akili nyingi na mda mrefu sana kuzianda eti tu kwa entertainment na watu kuziona kwa muda wa masaa mawili ilhali imetumika kama miaka 7 au 10 kurelease,huu ni ujumbe wa kweli katika mfumo wa consipiracy kuwaonesha binadamu uhalisia ambao unakuja ,kuwafanya waone kawaida,wazoe na kujua ni jambo la nadharia,ukitizama game ya illuminati cards inaonesha everything mpaka tamati ila ni kama mchezo tu kumbe ndo kinachotokea,ukija katika imani iko very straight kwenye ufunuo kuhusu 666 na tunaelekea kutoka kwenye pesa kwenda kwenye electronic cards and numbers as 666 marks in order to buy and sell THANKS
Mwisho wa dunia ni ile siku utakayofariki. Huo ndio ukweli usiopingika. Hakuna cha conspiracy, sijui armageddon wala nini.
Lugha yako tu inaonyesha jinsi akili yako ilivyopinda.Kama hujui wewe si pumbavu unanyamaza wanasema wanaojua? Kwani lazima useme? Au kakuita ulete umbweha wako wa kishatuani hapa? Pumbavu kweli kweli.
Sawa, lakini huo "mwisho wa dunia" utaungoja sana.mwisho wako ndo kufa kwako ila kuna mwisho wa dunia as whole
Watu wemekuwa wakisema hivyo hivyo kwa karne zaidi ya elfu lela ulela.huwezi jua ni mda gani ila ni mda wowote my note be in a safe side
Kwa sasa unao wakati mwingi wa kutafiti maisha. Utakapoanza kuzeeka utanielewa vizuri tu. Dunia hii ipo na utaiacha kama ilivyo.nipe sababu moja tu kwanini kusiwe na mwisho wa dunia yaani hauwezi tokea nikujibu
huwezi jua ni mda gani ila ni mda wowote my note be in a safe side
Watu wemekuwa wakisema hivyo hivyo kwa karne zaidi ya elfu lela ulela.
Kwa sasa unao wakati mwingi wa kutafiti maisha. Utakapoanza kuzeeka utanielewa vizuri tu. Dunia hii ipo na utaiacha kama ilivyo.
Yalisha semwa mengi kuwa mwaka 2000 ndo mwisho wa dunia na kwamba na computer zitazima lakini ilifika na imepita sasa miaka 15 hakuna lolote jipya hivyo, hakuna ajuae siku wala saa kikubwa ni get ready any moment it may be 2morrow au hata after another karne