Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,875
- 37,657
Hodi, habari wanajamvi!!
Naomba msaada juu ya hili! Rafiki yangu ana tatizo la kutoka majimaji (yaani sio jasho la kawaida)mikononi na miguuni tu!
Kiasi kwamba hata akilala anatumia feni (Note, anaishi kusini)na mikononi hawezi hata kukushika dakika moja kashalowa!
Tatizo ni nini,au ni ugonjwa?