Mwigulu: Sh1.6 trilioni mishahara hewa

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,602
Reaction score
22,707

Chanzo: Mwananchi
 
Si achukue hatua ? Naye analalamikia kama afisa mtendaji wa kijiji?
 
Hana lolote, mishahara hewa inaliwa watu Wa ccm!
 
yale yale ya Kinana kulaumu serikali na mawaziri
 
wanafunzi elfu28 hawajapewa mkopo elimu ya juu,trilion 1.6 mishahara hewa..ONLY in Tanzania
 
Yeye mwenyewe alifanya blunder baada ya kurudisha baadhi ya mishahara ya watumishi wa umma azina bila kufanya upembenuzi jambalo nimefanya watu ambao waliisha ama idara au kazi kuendelea kupata mishahara miezi minne sasa alafu anaanza kulalamika.....only in Tanzania.
 
Aaache kulalama kama anania ya dhati achape kazi, anatafuta sympathy ya watz
 
Sawa sawa acheni pesa ziliwe tu,vijana mkiambiwa jiandikisheni na mkapigie kura kiongozi atakayelinda maslahi yenu hamtaki hayo ndio matokeo na bado mtakaanga sumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…