Samson Mwigamba ni mhanga wa Siasa za makundi ndani ya CHADEMA wakati Mwigulu ni mhanga wa upuuzi wake mwenyewe.Ninachojiuliza ni hiki,Ina maana ndani ya CHADEMA hakuna mwingine anayeaminika kukiongoza Chama zaidi ya Mbowe?Lissu haaminiki?Professor Safari haaminiki?Professor Baregu haaminiki?Said Arfi haaminiki?Ebu jamani nipeni majibu kama hawa wote ni virusi ndani ya Chama kwasababu nikiwaangalia hawa naona kabisa ni aina ya Viongozi watakaoweza kuipeleka CHADEMA katika level nyingine kabisa ya kisiasa.Mtu kama Safari au Baregu watafanya mageuzi makubwa ya kiuongozi ndani ya Chama kwani wale knowledgiable,Obedient/loyal & competent ndio watakaofikiriwa kukiongoza Chama katika ngazi mbalimbali za Uongozi.Labda sasa Chama chini ya hawa Wasomi kitapata fursa ya kutafiti sentiment za Watanzania zilivyo,Kutafiti namna CCM wanavyofanya siasa zao Vijijini na kisha kuanza kuyafanyia kazi matokeo ya utafiti huo katika harakati za kukiimarisha Chama na kuimarisha siasa za ushindani dhidi ya Chama Tawala.Nawakilisha.

Kwa mtu anaeipenda Chadema kwa dhati, umeongea kitu cha maana sana. Kama ambavyo tunaamini CCM kinahitaji kupigwa chini na kuwekwa Chama kingine, ndivyo hivyo hata Style yetu ya kuishabikia Chadema inabidi tuibadili, tukosoe Viongozi wanapokosea, tu-analyse SWORT ni zipi.
Kama Mtei na Nyanga Makani hawakung'ang'ania madaraka, why waliopo sasa wang'ang'anie? Kina Safari na Beregu ni watu wazuri tu. Tena kama sio ukiritimba huu huu wa Madaraka wa Lipumba pale CUF, Safari ndio leo angekua pale.
Na kama wanapochaguliwa wengine wapya kuongoza chama huku walioko wakiwa bado na uwezo, ndio inadhihirisha kua Chadema ni chama kikubwa chenye uwezo hata wa kushika dola kikiwa na hazina kubwa ya Viongozi wazuri wa kutosha tu!!!
Mwigugamba=mwigulu+mwigamba

Wewe vipi? Kwani nani amewakataza hao kugombea hizo nafasi. Tabia yako inafanana kabisa na B7 wa Lumumba ingawaje sivyo ulivyo wewe kihulka
propaganda za kijinga vipi munataka uchagauzi ufanywe nje ya katiba ha ha wait and see 2009 na 2014 utafanyika na viongozi watachaguliwa tunaowataka munatwaliwa na hofu hadi basi mwenyekiti wenu kaselender lakini nyie nikujibadilisha IDs tuu
Watagombea wapi wakati uchaguzi haujaitishwa? Unavuta mibangi ya wapi wewe... Au umetumwa na hao wachaga..
Kumsemea mtu bila ridhaa nadhani sio uungwana. Je una uhakika hao uliowataja wanataka hicho cheo cha m/kiti? Kwa nini unadhani hivyo?Samson Mwigamba ni mhanga wa Siasa za makundi ndani ya CHADEMA wakati Mwigulu ni mhanga wa upuuzi wake mwenyewe.Ninachojiuliza ni hiki,Ina maana ndani ya CHADEMA hakuna mwingine anayeaminika kukiongoza Chama zaidi ya Mbowe?Lissu haaminiki?Professor Safari haaminiki?Professor Baregu haaminiki?Said Arfi haaminiki?Ebu jamani nipeni majibu kama hawa wote ni virusi ndani ya Chama kwasababu nikiwaangalia hawa naona kabisa ni aina ya Viongozi watakaoweza kuipeleka CHADEMA katika level nyingine kabisa ya kisiasa.Mtu kama Safari au Baregu watafanya mageuzi makubwa ya kiuongozi ndani ya Chama kwani wale knowledgiable,Obedient/loyal & competent ndio watakaofikiriwa kukiongoza Chama katika ngazi mbalimbali za Uongozi.Labda sasa Chama chini ya hawa Wasomi kitapata fursa ya kutafiti sentiment za Watanzania zilivyo,Kutafiti namna CCM wanavyofanya siasa zao Vijijini na kisha kuanza kuyafanyia kazi matokeo ya utafiti huo katika harakati za kukiimarisha Chama na kuimarisha siasa za ushindani dhidi ya Chama Tawala.Nawakilisha.
Mwigulu Nchemba(Naibu katibu mkuu CCM-TZ bara) na Samson Mwigamba(Mwenyekiti wa CHADEMA-Arusha) wote wawili kwa nyakati tofauti yameonja 'joto hasira' kutoka kwenye vyama vyao kufuatia vitendo vyao walivyovifanya siku za karibuni.
CCM kupitia kwa msemaji wake Nape Nnauye kilitoa taarifa kuzikana kabisa ziara za Mwigulu Nchemba nje ya nchi na kusema hizo zilikuwa ni ziara zake binafsi na CCM isihusishwe kabisa!
Kwa upande mwingine CHADEMA wamemsimamisha uenyekiti wao wa Mkoa wa Arusha Samson Mwigamba kwa tuhuma za 'kukichafua' chama chao kupitia mitandao, hii inafuatia topic yenye shutuma dhidi ya viongozi wa juu wa chama chake aliyodaiwa kuandika na yeye kwa kutumia jina bandia na kisha kuirusha JF kwa kutumia Laptop yake tena akiwa ndani ya mkutano muhimu wa Chama chake.
Maswali muhimu ya kujiuliza ni:
1/Nani aliwatuma kufanya hayo?
2/Nini malengo yao katika kufanya hayo?
Huo utafiti utafanyika baada ya cdm kuikomboa nchi 2015 .
Haya haya ndiyo yaleyale tunayoyasema, hunijui na wala hujachunguza hata my previous posts, lakini kwa ka-post haka kamoja tu tayari ushanipachika kundi. Yaani unakua muumini mkubwa wa makundi kiasi yoyote wa CDM unadhani ana kundipropaganda za kijinga vipi munataka uchagauzi ufanywe nje ya katiba ha ha wait and see 2009 na 2014 utafanyika na viongozi watachaguliwa tunaowataka munatwaliwa na hofu hadi basi mwenyekiti wenu kaselender lakini nyie nikujibadilisha IDs tuu