Mwigulu anachomokaje?? Katika hili???

Mwigulu tambua Syria kuna vita lakini waandishi wa habari wanapiga picha yanayotokea kama kawaida.
Mungu ndiye mlipaji kwa yaliyofanywa Arusha.
 
Katika vipindi vyote tangu CDM ianzishwe hiki ni kipimdi kigumu sana, maana kimekabidhiwa mheshimiwa Mwigulu awashughulikie na matatizo yao yote ya huko.....
 
Hivi mbona ili jambo limekuwa la kipropaganda wakati damu za watu zimemwagika, iundwe tume huru itoe majibu, ata kama seriklai haita shughurikia kwasababu haitii shaka kwamba ni moja kwa moja inahusika lakini iwe wazi kupunguza maneno ya kisiyo na tija. Kma ilivyo kuwa ripoti ya mwandosi, na jamabo la muhimu sana matokeo yake watuachie sisi wananchi tutajua junsi ya kutoa tiba
 

Chezea damu ya mtu wewe, itakufuata tu, tusubiri, ipo siku ataropoka tu, sorry, kwanza si aliisha omba msamaha kabla ya tukio huyu? Tena humu humu ndani!
 
Naomba kuuliza,humu jf kuna member yeyote ana urafiki na mtoto wa kiongozi yoyote wa juu wa serikali hii ya CCM na jeshi la polisi hasa Mh Rais,Pinda,Kinana,,mwigulu,nape,s.mwema,chagonja,kamuhanda......nia yangu ni kutaka kujua inakuwaje ndani ya familia mzazi anapokuwa anaishi kinafiki,wao huwa wanajisikiaje wanapokuwa nje ya familia na kusikia jinsi watu wanavyolalamika kutokana na matendo ya wazazi wao.
 
hakika haki haitapotea, na kwakweli siku si nyingi nchi inaenda kutikisika
 
:kev:IWE CHADEMA AMA CCM ALIEFANYA HILO TUKIO NI MUHALIFU GAIDI NA NI LA KISIASA ZAIDI.....HATA JUHA AKIULIZWA ATASEMA TU KUWA NI MPINZANI AWEZAE KUMRUSHIA BOMU MWINZIE ALAFU AKAKIMBIA....chadema hawawezi kujiwekea bomu wenyewe ili iweje je wange bainika ingekuwaje hao lazima awe nje!?ya chadema
 
Kauli za mwigulu ziungwe mkono na wapenda amani na haki

una haki ya kutoa maoni yako ,ila ni vyema uwe mkweli je ni sawa kutaka ushahidi wa chadema kuhusu tukio la Arusha, bila kuhoji kauli za nape na mwigulu khs wana Arusha kufa wasipoichagua ccm alafu unakuja na blaa blaa jamvini hapa lete Nondo zijadiliwe sijapata upuuzii wako ,mlisema kitu chenye ncha kali tukio la Mwangosi ,subiri video utaingia chini ya stool.
 

Mwigulu anadhani watu wote ni wajinga au anaweza kuwapumbaza wakati wote. Naomba huyu Mwigulu ajibu hoja ya chadema ya kutaka uchunguzi huru ufanyike ili ukweli ujulikane. Je ccm na serikali yake wako tayari? Kama hawako tayari wanaogopa nini? Wananchi hatutaki siasa kwenye hili jambo ambalo ni la hatari kwe nchi yetu. Uchunguzi huru ufanyike ili kukata mzizi wa fitina. Tunataka wote waliohusika wachukuliwe hatua za kisheria na sio kutoa kauli za kitoto kwamba ccm haihusiki lakini hapo hapo haitaki chombo huru kuthibitisha matamshi yao.
 
Bila kuwa na video inayoonyesha polisi wakipiga risasi watu waliotaka kumkamata huyo aliyerusha bomu (wengine wanasema alivaa jeans), mtakuwa mnatafakari ujinga unaozungumzwa na wajinga (wanasiasa wetu).

Sijui kwanini Tanzania siasa ni kazi ya watu wajinga .... sielewi hili.
Just post the goddamn video!!!!
 
Hilo la waliokuwa wanarekodi walikuwa wametulia kama wanarekodi send off..... hivi hakuona baada ya mlipuko kulikuwa na mstuko? na baada ya hapo mwandishi mahili lazima urekodi kinachoendelea, ukikimbia hujui kazi yako....siku zote hata ukisikia mlipuko basi umepona, endelea na kazi

 
Mwigulu anaijua siasa chafu,hapa chadema wawe makini,nadhani wameshuhudIa ludovick alivyonunuliwa na kumrekodi Lwakatare,Sasa wawe makini tena makini.Mwigulu ni hatari sana
 
Mwigulu anaijua siasa chafu,hapa chadema wawe makini,nadhani wameshuhudIa ludovick alivyonunuliwa na kumrekodi Lwakatare,Sasa wawe makini tena makini.Mwigulu ni hatari sana
Amemrekodi lwakatare akifanyaje???
 

Humu Jf watoto wa vigogo ni Ritz, hamy d
 
Last edited by a moderator:

Humu Jf watoto wa vigogo ni Ritz, hamy d
 
Last edited by a moderator:
Hana jipya,jana kama angekuwa mpinzani spika angezima kipaza sauti,kwa vile ni mwingilu sawa,ila yote yana mwisho.umma ni kubwa kuliko wanaVyofikiria...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…