Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,775
- 9,203
wale mlioangalia Bunge siku ya jana mtakubaliana na mimi kwamba serikali ya CCM ilitumia muda wa jana kufanya propaganda juu ya kilichotokea Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA Viwanja vya soweto.
Kilichonifurahisha japo kwa huzuni ni pale Mwigulu kijana anayetegemewa sana na CCM kufanya siasa chafu na kushambulia wapinzani alipojichanganya mwenyewe huku akitumia nguvu kuruka tope hilo la tuhuma za serikali ya CCM kuhusika, angalia kauli hizi 3 toka kwa Mwigulu,
* Anaanza kwa kusema pole kwa watu wa ARUSHA kisha anasema amani ya nchi yetu sasa inaweza kuchafuliwa na watu toka nje ya nchi yetu, anasema sio mataifa yote yanafurahia amani yetu hivyo yanaweza kutumia mwanya huo kuhalibu amani tuliyonayo ili kutukosesha fursa za kiuchumi nk.
** Hoja yake ya pili anasema tuna ugeni mkubwa na tunajua zimekuwepo habari za mataifa mengine kutofurahishwa na Nhi yetu kupata wageni hawa mfurulizo ,hivyo inawezekana kabisa kutumia mwanya huo.
*** Hoja yake ya tatu anasema CCM hawawezi kuhusika na mauaji yale eti kwasababu hakuna mazingira ambayo CCM inaweza kupata incetive kwa mlipuko ule zaidi ya hasara kwani wao ni kazi yao kuimarisha ulinzi.
**** lakini anaendelea kwa kusema ukiangalia video ya CHADEMA mtandaoni juu ya kile kilichotokea utashangaa kwani eti aliyekuwa anachukua video yeye alikuwa ametulia kama hana habari na bomu utadhani yupo kwenye harusi vile hatikisiki ametulia tuu,inawezekana vipi?? alafu anasema uki angalia ile video unamuona mbunge wa pale ARUSHA na hajali yupo tu kashika boksi la pesa na kiongozi wake.
*** MWIGULU pia anasema kama waliweza kumvalisha kijana wa watu nguo za jeshi wapige nae picture na kisha wakamwacha amefungwa gerezani familia yake wanahangaika watashindwaje kumvalisha askari nguo za polisi alafu wamtume akalipue, ameyasema haya huku mawaziri ,waziri mkuu na wabunge wa ccm wakionyesha sura za furaha na wakipiga makofi kwa nguvu sana kama ishara ya kukubali utetezi ule.
AMETOA KAULI TOFAUTI ZINAZOPINGANA MOJA MARA WATU TOKA NJE WENYE WIVU NA AMANI YETU,MARA UGENI HIVYO WATU WA NJE WANATAKA KUZUIA ,MARA CHADEMA , sasa wenye akili na weleu wanamuuliza Kwani yeye ameambiwa Ile video ilirekodiwa na kifaa gani mpaka aseme ilikuwa imetulia sana?? au ana utalaamu na video?? ,lakini kwanini aseme CHADEMA watakuwa wamemvalisha mtu nguo za askari polis ili waseme ni polisi amejuwaje kavaa nguo za polisi?? kwani amesha iyona hiyo video ?? Nadhani ataumbuka kama CHAGONJA NA KAMUHANDA WALIVYOUMBUKA KWA USHAHIDI WA KIFO CHA MWANGOSI stay turned HAKI haiwezi kushindwa dhidi ya DHULMA,,,CHADEMA wako makini ndo mana umma una waaamini<