Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 169
ok tumekuelewaling mkuu isnt you!!!Kusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....
basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...
Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...
wako katika ujenzi wa Jf
hahahaa! yaani sie wengine mpaka twende kwa jilani kutafuta kamusiKusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....
basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...
Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...
wako katika ujenzi wa Jf
ok tumekuelewaling mkuu isnt you!!!
hahahahahah no problem wala matatizo tutabadilika
Kusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....
basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...
Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...
wako katika ujenzi wa Jf
Kama namuona nanii alivyofura kwa hasira na povu jingi.Ha ha ha ha Mkuu ungetolea mfano kitu kingine hiyo Forex sijui nini utajaza watu wenye hasira kwenye Thread.
Uzuri wa kingereza neno moja tu linaweza kumeza maneno yote uliyo yaandika hapo...Kusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....
basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...
Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...
wako katika ujenzi wa Jf
I am waiting strong Discussion especially political issues and Forex gambling.Let's begin a dicsussion here
Also I wonder why don't you write your thread in English language if you are well committed to know this language?
Dah Mkuu miezi miwili tu!! Kweli inatosha kuingia kwenye mijadala inayoendeshwa kwaI am waiting strong Discussion especially political issues and Forex gambling.