Mara Makondakta anataka wanaume watiwe vidole nyumba hadi nyumbaGafla mchupi wa Nandy huu hapa ujatulia vizuri mara Diamond huku nywele original kule wigi hujakaa vizuri unasikia trilioni 1.5 gafla Kiba katuletea chombe kutoka Mombasa hujatulia unamsikia mzee Wenger ametangaza kustaafu hujanywa maji yakatulia mara unasikia Masogange karest in peace na msambwanda wake
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Loh! huko ndo kupatwa kwa dar he he he na bado watakoma!Mara Makondakta anataka wanaume watiwe vidole nyumba hadi nyumba