Huyu anaunga miguu juhudi za mboweHahaha sasa huyu na Lipumba nani CCM zaidi?
Kumbe kipindi kile anamwandama profesa ilikuwa njaa tu!
Mpe mbwa nyama atulie!
Kazi ipo kwa kweli..Habari zilizoko ni kua Mtatito anejiondoa CUF.
Habari zaidi zinafuata
Aisee..kila heri huko aendakoHabari zilizoko ni kua Mtatito anejiondoa CUF.
Habari zaidi zinafuata