K kitero JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 563 Reaction score 110 Jul 29, 2015 #1 Kwa mojibu wa katiba ya CCM raisi wa nchi ndiyo mwenyekiti wa CCM taifa.Tuumize kichwa kidogo je! Ikitokea mh Magofuli akaukosa uraisi mwenyekiti atabakia yuleyule au atakuwa magofuli?
Kwa mojibu wa katiba ya CCM raisi wa nchi ndiyo mwenyekiti wa CCM taifa.Tuumize kichwa kidogo je! Ikitokea mh Magofuli akaukosa uraisi mwenyekiti atabakia yuleyule au atakuwa magofuli?
N njox Member Joined Jun 8, 2015 Posts 58 Reaction score 19 Jul 29, 2015 #2 Nandiomaana tunasema maccm wanakurupuka, wanazani watatawala milele?
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,206 Reaction score 2,908 Jul 29, 2015 #3 atachaguliwa mwingine, by the way huu si muda wa kuwajadili, wameexpire
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,037 Jul 29, 2015 #4 Kwa hiyo jk ajiandae kuwa kama akina mrema,dovutwa,rashidi,sipati picha atakapokuwa anaenda ikulu kunywa juisi
Kwa hiyo jk ajiandae kuwa kama akina mrema,dovutwa,rashidi,sipati picha atakapokuwa anaenda ikulu kunywa juisi
Dahafrazeril JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 1,500 Reaction score 2,059 Jul 29, 2015 #5 Hakuna Swali la kuumiza kichwa hapo! Magufuli akiukosa Urais Mwenyekiti wa SISIEM Taifa ataendelea kuwa Jk.
Hakuna Swali la kuumiza kichwa hapo! Magufuli akiukosa Urais Mwenyekiti wa SISIEM Taifa ataendelea kuwa Jk.
Liberal Member Joined Jan 29, 2012 Posts 35 Reaction score 5 Jul 29, 2015 #6 Hayo ndo madhara ya kutengeneza kanuni za kudumu ambazo haziendani hali ya sisa ya nchi. CCM hawakuona mbele.... "PUA IKIOZA HAINUSI TENA"
Hayo ndo madhara ya kutengeneza kanuni za kudumu ambazo haziendani hali ya sisa ya nchi. CCM hawakuona mbele.... "PUA IKIOZA HAINUSI TENA"