Ratiba ya Kampeni za Ukawa:
KIKOSI CHA CDM 2015:
*Chopa 10
*Mabasi 30
*Magari madogomadogo 500
*Bodaboda 6500
*Baskeli 3000
*ESTER BULAYA
*LEMBELI
*JOHN HECHE
Watafanya kampeni mwanza musoma na tabora.
*TUNDU LISU
*MAKAIDI
watafanya kampeni singida na Dodoma
*SUGU
*PROF J,
*ADAM ZELLA
*MSIGWA
Watafanya kampeni mbeya, Iringa morogoro na ruvuma
*LEMA
*JOSHUA NASSARI
Watafanya kampeni mikoa ya arusha Kilimanjaro na manyara,Lindi ,mtwara na pwani.
*KAFULILA
*MBATIA
*RWAKATARE
*KUBENEA
*MARANDO
*MTATIRO
Watafanya kampeni D,salaam na Zanzibar.
*SALUM MWALIMU
*MAALIM SEIF
*PLUS TEAM CUF
*JUMA DUNI
*MNYIKA MBOWE
Hawa watazunguka nchi nzima bila kujali kanda.
*TEAM LOWASSA
Hawa watatembea nyumba kwa nyumba
*M4C
Hawa watatembea Kata kwa Kata.
*FRIENDS of LOWASSA Hawa watatapakaa nchi nzima kuleta ushawishi plus CDMA intelligencia watatapakaa nchi nzima kubain wizi, njama na mipango mibaya ya ccm.
bandu bandu humaliza gogo..
kama UNA AKILI kimamu utakuwa umeshaelewa nn kinaenda kutoke OCT 25
Mgana Msindai Singida
Ole Nangole Arusha
Adam Kimbisa Dodoma
Who next......?
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Adam Kimbisa, aachia ngazi. Amedai kuwa anataka kumpumzika siasa ila wadadisi wa mambo wanasema ni maandalizi ya kuja UKAWA.
4U MOVEMENT kampeni zikianza tu, tunatembea mtu na mtu, kichwa kwa kichwa, nyumba kwa nyumba, na kueleza ukweli halisi wa nchi yetu...kwanini UKAWA thru Lowassa ndio UHAI wetu...
Tutasali na kukesha, kila nyumba ITAKUWA UKAWA... sio utani... ni kujitolea BUREEEE....
Ukombozi ni sasa.... mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba ndugu, jamaa marafiki, wananchi, kila kona, yeyote yule mweleze UKAWA, LOWASSA ni nani
.. na watatupigia kura...
It is TIME for CHANGE....!!!
"Tunahitaji mfumo sahihi sio tu kubadilisha mfumo, uchumi wa nchi haufanyiwi majaribio"
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Adam Kimbisa, aachia ngazi. Amedai kuwa anataka kumpumzika siasa ila wadadisi wa mambo wanasema ni maandalizi ya kuja UKAWA.
za siku mkuu.Kweli wewe ni Ukwaju unaependwa kumung'unywa na wadada!!!!
Aliyeshuka na helicopter siku ya kutangaza nia Lowassa ni Musukuma mwenyekiti wa CCM Geita na Si Mgeja!!!!
Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM taifa ni Msindai.....
sawa kabisa ni Mwenyekiti wa Geita Joseph KashekuKweli wewe ni Ukwaju unaependwa kumung'unywa na wadada!!!!
Aliyeshuka na helicopter siku ya kutangaza nia Lowassa ni Musukuma mwenyekiti wa CCM Geita na Si Mgeja!!!!
Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM taifa ni Msindai.....
Kweli wewe ni Ukwaju unaependwa kumung'unywa na wadada!!!!
Aliyeshuka na helicopter siku ya kutangaza nia Lowassa ni Musukuma mwenyekiti wa CCM Geita na Si Mgeja!!!!
Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM taifa ni Msindai.....