Ulikuwa nazo mbili!? Nimeangalia hii ni ya Wayback 2012Kwa wale wanajukwaa pendwa la international forum, Jamii Intelligence na chumbani account yangu imesumbua nasubiria msaada wa moderators kuirudisha but wakishindwa kunirudishia nitakuwa kwenye hii ID so wick haipo hewani but kwa mijadala yetu mnitagg kwa hii ya sasa!..
Kinachouma sitaweza ingia Jamii Intelligence, Dini/imani na Chumbani but please moderators kama mnaonna thread nirudisheni huko! wick
and this ID are the same.
cc: Malcom Lumumba zitto junior Elungata Da'Vinci hearly
Huyu ni mwenyeji kote kote.Ulikuwa nazo mbili!? Nimeangalia hii ni ya Wayback 2012
Ni hisia zako ambazo zaweza kuwa sawa au zikawa sio sawa pia!..Huyu ni mwenyeji kote kote.
Huwa najiuliza kwa nini mtu anakuwa na ID nyingi afu za kificho kificho?
Hisia zangu huwa ni 1. Kazi maalum 2. Mtu asiyemwaminifu 3. Mtu asiye na msimamo..anaona aibu kuumbuliwa akishafata upepo wa bendera.