mosses son
Member
- Apr 8, 2020
- 26
- 7
Wewe ni intern tu lakini unaanza kuulizia malipo duh.
Hivi huwa wanaajili ma engeer tu au ht taaluma zingineWale jamaa huwa wana udini sana....bila ya kuwa na cheti cha ubatizo kupata ajira kwenye hilo shirika uchwara ni ngumu sana......hawajali sana taaluma yako ila wanachoangalia wewe ni nani na umeletwa na nani ( kamlete system)
Na kada nyingineHivi huwa wanaajili ma engeer tu au ht taaluma zingine
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
UongoWale jamaa huwa wana udini sana....bila ya kuwa na cheti cha ubatizo kupata ajira kwenye hilo shirika uchwara ni ngumu sana......hawajali sana taaluma yako ila wanachoangalia wewe ni nani na umeletwa na nani ( kamlete system)
uongoWale jamaa huwa wana udini sana....bila ya kuwa na cheti cha ubatizo kupata ajira kwenye hilo shirika uchwara ni ngumu sana......hawajali sana taaluma yako ila wanachoangalia wewe ni nani na umeletwa na nani ( kamlete system)
Hiyo ni uongo bwanaWale jamaa huwa wana udini sana....bila ya kuwa na cheti cha ubatizo kupata ajira kwenye hilo shirika uchwara ni ngumu sana......hawajali sana taaluma yako ila wanachoangalia wewe ni nani na umeletwa na nani ( kamlete system)
Hapana Sio kwelii..! Kuhusiana na Udini but kuhusu Connection it sounds like.Wale jamaa huwa wana udini sana....bila ya kuwa na cheti cha ubatizo kupata ajira kwenye hilo shirika uchwara ni ngumu sana......hawajali sana taaluma yako ila wanachoangalia wewe ni nani na umeletwa na nani ( kamlete system)
Intern unataka ulipwe na wakati upo mafunzoni? labda ungeuliza hata ku volunteerHabarini ndugu zangu poleeni na mihangaiko ya kutwa mimi nilikuwa naulizia mwenye uzoefu na Interns za world vision jinsi wanavyolipa na kazi zao mana mimi ni Eng (civil) naombeni msaada anayejua au anafanya kazi na hilo shirika anisaidie swali langu.
Kigoma kama wapo NIAMBIENMimi nataka niende kuomba hapo, wako sehemu gani kwa hapa Dar
Watakuwepo mkuu . JAribu kuulizia , pitapita mjini kwenye Barabara za lami apo kigoma mjini, utawapata TUKigoma kama wapo NIAMBIEN
Wapo kasuluKigoma kama wapo NIAMBIEN
Kupata si ni msala sana nataka niwaibukie wiki ijayoPosho Kama zote, mshahara wa intern 400k hivi
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Christian OrganizationHapana Sio kwelii..! Kuhusiana na Udini but kuhusu Connection it sounds like.
Shuka Science ya Kijitonyama, ingia njia ya kwenda rose garden, tafuta mtaa wa Ndovu, nyumba namba 8Mimi nataka niende kuomba hapo, wako sehemu gani kwa hapa Dar
YesChristian Organization