Mwenye utaalam nalo wakuu

Midozenj01

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
410
385
"Nimelazimishwa kukutana na mama watoto not by ndoa na ndugu zake eti bila hivo mtoto hatotembea.."
hivi kwa wajuzi kuna ukwel ndani yake..?? "yaani inafika stage mpaka wanani mind balaa" mwisho wa nukuu
tusaidiane kwenye hilo au ufafanuzi zaidi wakubwa...
 
Kukutana kimwili au kukutana kimazungumzo fafanua mkuu
 
Kama ndizo taratibu zao nenda tu kakutane naye.
Hata kama huziamini ila nenda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…