gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 55
dear members, nauliza mwenye taarifa kuhusu zile kazi za nhif zilizotangazwa karibu na mwishoni mwa mwaka jana kama wameshafanya shortlisting! mwenye kuwa na taarifa tufahamishane tafadhali....
Thank you.
Habari zenu! Kuna mwenye tetesi kuhusu usail nhif?au ndo kimya kimya kama BOT?
bado ila mwezi huu i think
Kuna sehemu ukiaply unatakiwa uendelee kufunga na kuomba,BOT,NSSF,TANAPA,TRA,NHIF,TCRA.Ukiaply huko fanya kama mpanzi aliepanda mbegu shambani wewe subiri uone kama zitaota tena usubiri bila kupiga kelele
Hata mim nasikilizia huo mchakato wa nhif wakitoa short tuambiane
Wapo kimya mpaka watu tunasahau.