Mwenye picha za jiji la Mbeya

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,602
Reaction score
19,786
Naomba mwenye picha za jiji la Mbeya aniwekee humu
 
ha ha ha ha haaaa!
kwahiyo hiyo ndio picha ya jiji la mbeya mkuu?
 
Kwa nini mkuu umefikia hatua ya kuomba picha? ungefanya tour tu.
 
Twa mbombo mama.Mbeya nimepamiss sana.Power,Oagadugu,Pamdoz,Carnival.
 
Heee ngoja wenyewe waje mbon utajuta[emoji470] [emoji470] [emoji470]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…