G gelevahekejr Senior Member Joined Feb 24, 2014 Posts 120 Reaction score 16 Jul 29, 2017 #1 Ninaaina ya tourmaline ambayo kwa nje nyeusi uki piga tochi ni green and yellow mwenye oda tuwasiane kupitia pm
Ninaaina ya tourmaline ambayo kwa nje nyeusi uki piga tochi ni green and yellow mwenye oda tuwasiane kupitia pm
Ngatiani JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 412 Reaction score 470 Jul 29, 2017 #2 Habari? Tunaweza kushauriana kidogo? Sent using Jamii Forums mobile app
B buruhani2 Member Joined Nov 29, 2016 Posts 82 Reaction score 10 Jul 29, 2017 #3 Za leo mkuu mpigie huyu Mzee anao Wateja wa haraka 0719336741 Sent using Jamii Forums mobile app
B buruhani2 Member Joined Nov 29, 2016 Posts 82 Reaction score 10 Jul 29, 2017 #4 Ukimpata nifamishe mkuu shukran Sent using Jamii Forums mobile app
kibanga 3 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 1,380 Reaction score 977 Jul 29, 2017 #5 Mimi Nataka ilioachia rangi kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 834 Jul 29, 2017 #6 Hii biashara ikoje mkuuu,,nataka nijoin,,,solo lake inapatikana wapi na bei ya kuuza na kununua machimboni Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biashara ikoje mkuuu,,nataka nijoin,,,solo lake inapatikana wapi na bei ya kuuza na kununua machimboni Sent using Jamii Forums mobile app
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,515 Reaction score 42,646 Jul 29, 2017 #7 Soon ATALIWA MTU hapa Sent using Jamii Forums mobile app
wegman JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,471 Reaction score 2,097 Jul 29, 2017 #8 lusungo said: Soon ATALIWA MTU hapa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ha ha ha, kumbe na ww umeusoma mchezo mkuu.
lusungo said: Soon ATALIWA MTU hapa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ha ha ha, kumbe na ww umeusoma mchezo mkuu.
B buruhani2 Member Joined Nov 29, 2016 Posts 82 Reaction score 10 Jul 29, 2017 #9 Mkuu nimekumfamisha umpigia akupe maelekezo ya haraka Nini cha kufanya 0719336741 Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekumfamisha umpigia akupe maelekezo ya haraka Nini cha kufanya 0719336741 Sent using Jamii Forums mobile app
Ngatiani JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 412 Reaction score 470 Aug 2, 2017 #10 Kama huyajui madini ni vema uwe mchimbaji kwanza. Ukianza na ununuzi utauziwa madini feki. Soko kuu la madini kwa Tanzania ni Arusha. Arusha kuna maduka mengi ikifuatiwa na Dar. Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyajui madini ni vema uwe mchimbaji kwanza. Ukianza na ununuzi utauziwa madini feki. Soko kuu la madini kwa Tanzania ni Arusha. Arusha kuna maduka mengi ikifuatiwa na Dar. Sent using Jamii Forums mobile app
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,167 Reaction score 133,617 Aug 2, 2017 #11 Pia kama si mzoefu, unauziwa madini ya thamani ndogo tu kwa bei ya kupaa sana!