N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Dec 28, 2013 #1 Nahitaji Noah kwa ajili ya wanafunzi WA kindergarten kwa siku 40,000/= shule ipo ubungo karibu na kanisa la emaus piga 0714064767
Nahitaji Noah kwa ajili ya wanafunzi WA kindergarten kwa siku 40,000/= shule ipo ubungo karibu na kanisa la emaus piga 0714064767
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Dec 28, 2013 #2 samahani dreva anakuwa ni wakwako au ni kwangu? nickson1987 said: Nahitaji Noah kwa ajili ya wanafunzi WA kindergarten kwa siku 40,000/= shule ipo ubungo karibu na kanisa la emaus piga 0714064767 Click to expand...
samahani dreva anakuwa ni wakwako au ni kwangu? nickson1987 said: Nahitaji Noah kwa ajili ya wanafunzi WA kindergarten kwa siku 40,000/= shule ipo ubungo karibu na kanisa la emaus piga 0714064767 Click to expand...
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,407 Dec 28, 2013 #3 ladyfurahia said: samahani dreva anakuwa ni wakwako au ni kwangu? Click to expand... Ni vyema ungempigia simu naona katokomea
ladyfurahia said: samahani dreva anakuwa ni wakwako au ni kwangu? Click to expand... Ni vyema ungempigia simu naona katokomea
controler JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 1,562 Reaction score 361 Dec 28, 2013 #4 nickson1987 said: Nahitaji Noah kwa ajili ya wanafunzi WA kindergarten kwa siku 40,000/= shule ipo ubungo karibu na kanisa la emaus piga 0714064767 Click to expand... Mkataba wa mda gani?
nickson1987 said: Nahitaji Noah kwa ajili ya wanafunzi WA kindergarten kwa siku 40,000/= shule ipo ubungo karibu na kanisa la emaus piga 0714064767 Click to expand... Mkataba wa mda gani?
N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Dec 28, 2013 Thread starter #5 ladyfurahia said: samahani dreva anakuwa ni wakwako au ni kwangu? Click to expand... dereva Ni wa kwangu na mkataba mpaka watakapo funga kwa ajili ya pasaka halafu Tu andika mkataba mwingine
ladyfurahia said: samahani dreva anakuwa ni wakwako au ni kwangu? Click to expand... dereva Ni wa kwangu na mkataba mpaka watakapo funga kwa ajili ya pasaka halafu Tu andika mkataba mwingine
N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Dec 28, 2013 Thread starter #6 Ni mwenye nalo anipigie mapema maana mwezi WA kwanza huo unakaribia watoto wanafungua shule