bro samahan iv ukitaka kusoma degree mwaka mwingne inabidi usiapply kabisa mpaka huo mwaka? MF mm nmemalza mwaka huu diploma ila namaan nsiapply kabsa mpaka mwaka kesho ambapo ndo nataka niendelee kusoma?