VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Mkuu Preta,viherehere vyao bado havihalalishi ubakajisio viherehere vyao kweli.....?
Mkuu Preta,viherehere vyao bado havihalalishi ubakaji
lakini tulihakikishiwa kuwa kupata mimba ni vihere here vyao..........
JK ni muongo asiye na kiwanda cha uongo!lakini tulihakikishiwa kuwa kupata mimba ni vihere here vyao..........
mtoto aitwe 'lasaba'
ila jamani kabinti kama haka waweza kukuta hata waazi wake hawajui manake mimba za kwanza huwa hazinaa tumbo kubwa kwa wengine so na ukichanganya na hofu ya kugombezwa home basi binti akaamua kuwa mkaksi kwa kuvaa masweta mwanzo mwisho, na kufunga sketi kwa belt. Mimba hizi hazinaga kichefuchefu wala kuumwa, uvivu hazina kabisa mwanzo mwisho mtu anakula chochote kile hakuna kuringa manake ytima hadeki.
hofu yangu sasa kwakua hajawa kwenda klinik mtoto anahitaj uangalizi sana, istoshe pia mama mtoto nae. But Mungu mkubwa lol! imagine hata uchungu hakuuskia hadi aka push kwenye chumba cha mtihani.
Ni baba wa mtoto wa kiume aliyezaliwa ndani ya chumba cha mtihani wa darasa la saba. Ni muda wa kuelezwa nani alihusika na nani alilinda ubakaji huu. Ni muda wa kuelezwa kama serikali ya alipo aliyejifungua chumba cha mtihani wa hisabati ilifahamu ubakaji huu. Ni ubakaji kwakuwa binti hana miaka 18. Alibakwa. Jambo hili si la kulishabikia. Muda ni huu
Mkuu Preta,viherehere vyao bado havihalalishi ubakaji
mtoto aitwe 'lasaba'
ila jamani kabinti kama haka waweza kukuta hata waazi wake hawajui manake mimba za kwanza huwa hazinaa tumbo kubwa kwa wengine so na ukichanganya na hofu ya kugombezwa home basi binti akaamua kuwa mkaksi kwa kuvaa masweta mwanzo mwisho, na kufunga sketi kwa belt. Mimba hizi hazinaga kichefuchefu wala kuumwa, uvivu hazina kabisa mwanzo mwisho mtu anakula chochote kile hakuna kuringa manake ytima hadeki.
hofu yangu sasa kwakua hajawa kwenda klinik mtoto anahitaj uangalizi sana, istoshe pia mama mtoto nae. But Mungu mkubwa lol! imagine hata uchungu hakuuskia hadi aka push kwenye chumba cha mtihani.
Bi Kidude(literally translation of Miss Thang)..Ulipokuwa na umri huo UCHUNGU ulikuwa unaujua sana tu. Sema labda ilikuwa ni Uchungu wa aina tofauti. Uchungu uliojua wewe wakati una umri wa miaka 14 ulikuwa ni Uchungu wa Muarobaini, Uchungu wa Klorokwini, Uchungu wa nyanya chungu na Uchungu wa bakora ulizokuwa unazawadiwa kwa utovu wa Nidhamu. Pole kwa Uchungu mama.MIE KILICHONISHANGAZA NI KWAMBA MTOTO NWENYEWE ALIJUA KWAMBA ANA UCHUNGU, 14yrs OLD, REALLY! MIE UMRI HUO HATA UCHUNGU NILIKUA SIJUI NI NINI!
bi kidude(literally translation of miss thang)..ulipokuwa na umri huo uchungu ulikuwa unaujua sana tu. Sema labda ilikuwa ni uchungu wa aina tofauti. Uchungu uliojua wewe wakati una umri wa miaka 14 ulikuwa ni uchungu wa muarobaini, uchungu wa klorokwini, uchungu wa nyanya chungu na uchungu wa bakora ulizokuwa unazawadiwa kwa utovu wa nidhamu. Pole kwa uchungu mama.
Sana tu kupita maelezo mama..nilikuwa nakukumbusha tu Uchungu uliokuwa unauvumilia enzi zako ukivaa Chachacha sandals kwenye jua la Bongo..lol.lol! Ati bi kidude...hujatulia. Lakini umepata ujumbe.unajua nilichokua naongelea.
siunajua tena wakishazaa wanatakiwa kuendelea na masomo sijui huyu itakuwaje..
Bi Kidude(literally translation of Miss Thang)..Ulipokuwa na umri huo UCHUNGU ulikuwa unaujua sana tu. Sema labda ilikuwa ni Uchungu wa aina tofauti. Uchungu uliojua wewe wakati una umri wa miaka 14 ulikuwa ni Uchungu wa Muarobaini, Uchungu wa Klorokwini, Uchungu wa nyanya chungu na Uchungu wa bakora ulizokuwa unazawadiwa kwa utovu wa Nidhamu. Pole kwa Uchungu mama.