Muwindaji JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 245 Reaction score 206 Dec 21, 2017 #1 Habari wanajamvi... Natafuta mtu mwenye mashine ya kutotolesha mayai ya bata.. Nipo Dar-es-salaam Namba ya simu 0712138156 Anicheki humu au ani-pm
Habari wanajamvi... Natafuta mtu mwenye mashine ya kutotolesha mayai ya bata.. Nipo Dar-es-salaam Namba ya simu 0712138156 Anicheki humu au ani-pm
M makundubhyali JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 2,389 Reaction score 886 Dec 21, 2017 #2 Mbona mashine yoyote auto inatotoresha, ila bata maji mayai yanachukua siku 35 na bata mzinga siku 28. mashine hizi zinaweza kutotoresha mpaka mamba itakuwa bata ?!
Mbona mashine yoyote auto inatotoresha, ila bata maji mayai yanachukua siku 35 na bata mzinga siku 28. mashine hizi zinaweza kutotoresha mpaka mamba itakuwa bata ?!