Naongelea ya finance na public relations ofcourse waliotoka written kwenda oral. Majibu walisema wataweka kwenye website yao trh 4.12.2013 lakini usiku mzima mpaka asubuhi hakukuwa na kitu kama hicho. Wamekuja kuweka majina saa 4 wakati interview ni saa tatu, yaani saa lishapita.