Mwenye kuuza simu tsh. 200,000

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,927
Reaction score
4,199
Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.

Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.

Karibu.
 
ZTE Blade V770...
location: Kigamboni
 
Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.

Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.

Karibu.
Kuna Samsung j7 weka no yako mkuu
 
Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.

Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.

Karibu.
Tecno wadhamini wa Manchester city
 
Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.

Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.

Karibu.
Kwani Tecno siyo simu!!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…