Mwenye kufahamu hizi packages

fundinaizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
1,841
Reaction score
2,962
Wakuu habari, ningependa kufahamishwa sehemu ambapo hizi packages (cups) za juice na hiyo ya hot chocolate zinapatikana
ikiwezekana na bei zake
N.B: (zilizo tupu kwa ajili ya biashara /brand yangu). Naombeni ushirikiano tafadhali.!.





 
Hata mimi natamani sana kujua zinakopatikana kwa bei ya jumla hata hiyo ya chini tu angalau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…