Mwenye kiwanja Goba chenye hati

Mdhamini

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
214
Reaction score
172
Wanaja JF kama kuna mtu ana kiwanja Goba chenye hati ani PM.

1. sqm 1000-2000
2. Budget isizidi 25M
3. Kisiwe kinadaiwa na Bank
4. Bei iwe realistic na eneo uhusika

Nawasilisha.
 
Wanaja JF kama kuna mtu ana kiwanja Goba chenye hati ani PM.

1. sqm 1000-2000
2. Budget isizidi 25M
3. Kisiwe kinadaiwa na Bank
4. Bei iwe realistic na eneo uhusika

Nawasilisha.
Kuna chenye sqm1490 Goba
Kimepimwa
Bei 25m
 
Sijawahi kusikia kiwanja chenye hati Goba... Hati za viwanja nimezisikia maeneo ya Kariakoo, Posta, Upanga na Masaki...
 
Mabwepande utachukua, ?

Sent from my TV
 
Ebu nenda kabisa huko au tafuta wenyeji wanaweza kukuelekeza jinsj ya kivipata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…