baba glory
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 292
- 213
Ingekuwa vyema kama ungepost na plug ya ku-connect kwenye pc.Habari wakuu,
Mwenye hii adaptor hapa chini naomba aniuzie, hii imeungua na mashine imeisha chaji nashindwa jinsi ya kuichaji.View attachment 1166529View attachment 1166531
Mkuu output voltage in 9.0V na current ni 1.0A kama unayo nipigie 0789 90 23 45soma output voltage ni ngp then nitakusaidia au pm me
Mashine ya Selcom, nimewasiliana nao wanadai hawana sasa biashara imesimama maana mashine imeishiwa moto.Ni ya nini mkuu
Hii ni adapta ya SELCOM wireless machine aina ya PAX S90 mkuu sio ya PCIngekuwa vyema kama ungepost na plug ya ku-connect kwenye pc.
Vipi ukichukua adapter yoyote uakakata ile plug ya kuchomekea kwenye hiyo mashine ukaunga hiyo yako? Sijui umenielewa?
Bado unayo charger nichek 0717498954sorry nlichelew kuon reply mkuu kma haujapat nitext pm