EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Umemaliza kila kituHivi amapiano ni beat ama ni genre/aina ya muziki?
Mimi nadhani ni aina ya muziki, yani kama unayosema hip hop, r & b, taarab, jazz, rock, pop, soul, gospel, bongo flava, reggae, dance hall, disco etc.
Kwa hivyo hakuwezi kuwa na hakimiliki ya amapiano.
Na amapiano, inatokana na muziki unaitwa 'house music' ambapo ulianzia uingereza kisha ukawa muziki mkubwa sana south africa kisha watu wa u swahilini wa huko SA wakaongezea kinanda kwenye huo muziki ndio ukazaliwa amapiano (yani 'vinanda')
Kama tu ambayo hakuna mwenye hakimiliki ya singeli ama hip hop basi hakuna mwenye hakimiliki ya amapiano, na kwa jinsi unavyotapakaa soon utakuwa muziki wa dunia nzima uafrika kusini wake utasahaulika
Hivi amapiano ni beat ama ni genre/aina ya muziki?