Chukulia kwamba wakati uko chuon,let say kuna gal ulikua unampenda mbaya,afu kila ukimwambia kuhusu hisia zako kwake anakuonyeshea dharau za waziwazi.asa ikitokea siku mmemalza chuo, we unapata ajira ya fasta fasta..miaka inasonga mbele, inatokea siku huyo gal anakuja ofisin kwenu afu kachoka mbaya na anatakiwa aonane na wewe ili uweze kumtatulia tatzo lake{let say wewe ndo unatakiwa uidhinishe aajiriwe au vp}utamsaidia kweli au utafanyaje?over
Tenda wema uende zako (alafu kumbuka hapo utakuwa hutendi wema..) ni kazi yako kumuhudumia yoyote anayekuja ofisini regardless halikukataa wala kukukubali,
Kama anavigezo vya kutosha kama ni kazi au kama ni kazi yako kutatua matatizo huna budi kufanya kazi yako
Business.. Never Personal...
Tatizo si ajira kuumpa. Tatizo lauyo gul anakuzala sana.....Mwisho; usimpe ajira coz atakuzarau ata ukiwa nae offisini kwako, nibola umwambia nafasi amna akajaribu sehemu nyingine full stop.
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi
Da umenikumbusha mbali sana nakumbuka kuna mdada nilimtokeaga akasema sina hadhi ya kuwa na mtu kama yeye !!
Dawa ni kumchinjia baharini tu yeye si alimwaga mboga na wewe unamwaga ugali !!
Wakati mwingine tunapotoa comments tuwe tunajiweka kwenye nafasi ya hawa watu. Assume ndiyo wewe ukafanyiwe hivyo kisa tu hukuwa na hisia naye kwa hiyo ikugharimu hata kwa maisha mengine. Eti au utakiwe kumpa kwanza alichokuwa anakitaka siku nyingi ili tu uweze kuajiriwa. Assume huyu anayefanyiwa haya ni dadako au mchumba wako?
Mimi nafikiri kikubwa hapa angalia sifa zake na umpe kile kinachomstahili na utekeleze majukumu yako kulingana na ethics za kazi zako na hayo mengine kama yatatokea basi iwe ni mutual aggrement. Katu sitamharass mtu kwa sababu ya kunibania au kuniumiza kimapenzi.
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi
Kaka kama n mimi..'nampa maneno makal alaf nampa ajira,,'
Da umenikumbusha mbali sana nakumbuka kuna mdada nilimtokeaga akasema sina hadhi ya kuwa na mtu kama yeye !!
Dawa ni kumchinjia baharini tu yeye si alimwaga mboga na wewe unamwaga ugali !!
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi