Mwenye accounting software yoyote, msaada

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Natafuta accounting software yoyote jamani nimedownload quick books pro 2010 but inataka mpaka niwapigie simu wanipe activation code
 
Google utapata basic version ya Palladium. Ni ya bure
 
go for tally erp 9...available with crack in torrents..iko poa mi nimeitumia sana tu..angalizo ni kuwa baada ya kuidownload crak yake (kama ilivyo desturi ya crack nyingi tu) huwa antivitus ina detect kama virus bt u can allow the file to execute na inafanya kazi poa kabisa..au unaweza ku disable antivirus kwanza wakati unacopy crack yake..maelezo ya ku crack yapo ndani yake..ili kudownload inabidi uwe na UTORRENT kwanza sababu hii ni torrent file..link yak ni:
http://torcache.net/torrent/04714DC48674E65D4BABBA3C7BAF2CC844E41FD3.torrent?title=[kat.ph]tally.erp.9.gold.edition.unlimited.cracked
ukisha download kama utakuwa na tatizo lolote tuwasiliane!
 
Asanteni sana wapendwa sasa i hope nikimaliza kuidownload hapa itanipunguzia headache
 
Pia waweza google Microsoft Office Accounting, ipo powa na free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…