magari
5 ya mwenge yamepata ajari na wakimbiza mwenge 9 wamejuruhiwa akiwemo
mkimbiza mwenge kitaifa nd.Simai wakati msafara ukielekea wilaya ya
Mpwapwa.tunawapa pole na tunaomba wapone haraka ili waendelee na shughuli ya ujenzi wa taifa.source.habari tbc.one.
Warudi makwao wakafanye kazi sio kuendelea kuzurula tu huku wakisaga pesa za walipa kodi bure kwa kundeleza siasa mfilisi.
Kwakweli siwapi pole kwani hii ni ajari ya kutafuta wenyewe kwa uzurulaji wao.
sioni faida ya mwenge.unazidisha ukimwi,unatumia gharama kubwa sana,unapoteza muda wa kufanya kazi.
Bora walivyopata hiyo ajali...
magari
5 ya mwenge yamepata ajali na wakimbiza mwenge 9 wamejeruhiwa akiwemo
mkimbiza mwenge kitaifa nd.Simai wakati msafara ukielekea wilaya ya
Mpwapwa.tunawapa pole na tunaomba wapone haraka ili waendelee na shughuli ya ujenzi wa taifa.source.habari tbc.one.
enzi za mwalimu tofauti na sasa.kila kitu kina wakati wakeHata shule na mambo mengine ya kijamii yanasababisha ukimwi pia. Kimsingi jitahidi uelewe WHY MWENGE. Mwl aliutumia Mwenge kwa mambo mengi sana na maana ileile bado ipo. Try to learn utajua vizuri tu. Kujamiiana ktk matukio haya ni sawa tu na kwenye ngoma za asili
Bora ni bora tu hainaga walakini.asavali walovipata azyali.Nasikia kwenye ile ajali alikuwemo ndugu yako wa karibu kwani kulingana na majukumu yake ya kila siku naye alilazimika kuwemo. Vp bora naye alivyopata ajali??