Leo bwana mda huu inaonekana wale walioacha kuutumia huu usafiri wamerudi hivyo kufanya hali iwe ile ile maana yake abiria wameongezeka mara 2 na hizo gari bado ni chache wasipojipanga watapangwa tena wait and see
Hapa fire gari ya kivukoni dk 35 haionekani watu full
Tz inamengi mkuu hakuna linaloshindikana, kama wanamsimamisha Lissu kila siku kizimbani bila sababu za msingi, kisa ushamba wa kutoijua sheria kusudi kwamba wamsikilize huenda watajifunza kwake, hawawezi kushindwa kugombania mwendokasi mkuu...
Watu wengi walikuwa wameacha kupanda mwendokasi wakahamia kwenye Pikipiki daladala na bajaji.
Mfano mzuri ni mwanzoni kabla hali haijawa mbaya, gari zilikuwa zinasimama na kushusha vituo vyote.
Hao watu wote wakirudi bado hizi buses hazitotosha..

Oooh! Bikira latifah umejaa neema, umebarikiwa kuliko wanawake wote na wazao wa tumbo lako nao watabarikiwa, mizimu ya ukoo wangu imekuchagua wewe tujenge familia, nikununulie na ndinga kali uachane na mwendokasi mama...
Ili kutatua hili tatizo inabidi gari zote za mwendombio kuletwa kwenye hizo njia na sio vinginevyo, huko Mbagala na gongolamboto ni kujidanganya na kuongeza tatizo