ACT-Tanzania Taifa Kwanza. Wazalendo kesho saa nane mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika katika Viwanja vya mwembeyanga Temeke.
Tujitokeze kwa wingi kumsikikiza Mwenyekiti Taifa wa ACT-Tanzania Kidawi Limbu.

Watumie ile mbinu ya ccm ya kusomba watu la sivyo wataumbuka mana hat uzi umeanzishwa masaa 4 yaliyopita wachangiji wakusuasua, umeshindwa hata na wa miss tanzania