kila kitu hua kina mwanzo na mwisho!,
ikumbukwe mziki haswa wa bongo fleva huwezi kuimba milele, iko siku utachuja, umri utasonga inabidi kupiga ishu zingine, means mziki unabaki tu kua kama hobby na sio kazi ya kuitegemea kama ajira.
mimi kila nikimuangalia Prof. Jay namuona kabisa anataka kufuata nyayo za Sugu kwenye siasa ingawa katika interview zake na media mara nyingi huwa anakataa kukubali hilo!.
ile mistari yake mikali ya kupinga serikali haipo tena, siku hizi anaimba vikopakopa tu, KAMILI GADO, imetulia!!.