Mwanzo alinishangaza hadi nikamuogopa

Kamba ni hivyo sawa, inawezekana, hatuwezi jua
 

JF is never boring. Nimejikuta nacheka sanaaaa.
 
wadau mmenichekesha leo balaaa yan hadi machozi...
 
Akikataa tumia ile lugha ya kaskazin "RARA VIZURI NIKURENGE" atapanunua mwenyewe.
 
Kwa trend hii, sitakiwi kushangaa kuona vijana wa sekondari wanamchora messi kwenye necta, wanaandika mistari ya hip hop.Kitakachofuata kitakuwa kuwachora boy & girl wakiwa wanafanya sex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…