Toka asubuhi saa mbili kamili asubuhi jiji la mwanza umeme umekatika, na hakuna taarifa yoyote kutoka tanesco, hadi ivi sasa bado giza limeenea katika kila kona ya jiji hili lenye miamba na milima ya ajabu, nafirikiri tanesco mza wawe wanatoa taarifa kwa wananchi ili wawe na taarifa ya mgao wa umeme