Hivi mkuu hakuna picha zingine zaidi ya Malls tu?? Wekeni picha za mji, wekeni picha za angalau makazi ya watu.. Si umeona Mwanza umewekewa mpaka makazi ya watu huko milimani??
Jambo moja la msingi tukumbuke, wakati sisi tukiwa Wajamaa tayari Kenya walikuwa mabepari.Sio aibu kukiri kuwa kwa sasa wapo mbele yetu japo tutawakamata soon.