Hakuna haja ya kuanzisha, nakuru imeshashinda. Tukianza na Dar vs Nairobi mshindi Nairobi
Mwanza vs Mombasa mshindi Mombasa
Arusha Vs Kisumu mshindi Kisumu
Miji ya Tanzania bado sana huo ndio ukweli, tembea tembea uone
Wallahi mi husifia lakini si kuhusu huu mji! Kama vile watu wapole, warembo wasupa, watu wazuri kweli, ila ni moja tu! Unafik! Lau haingekuwa basi mngekuwa watu wema sana Africa nzima! Tena niligundua kitu kimoja, kwamba Mbongo akija Kenya ajue ujaja anakuwa mbaya zaidi! Anakuwa mwizi hasa!! Duuh